Wanaoendesha magari wakiwa walevi washikwa

Madereva zaidi ya 24 walikamatwa jana usiku kwa kuendesha magari wakiwa wamebugia mvinyo katika operesheni inayofanywa na mamlaka ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA.

Tags:

NTSA Drunk driuving

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories