Wanasiasa sasa kulipia nyimbo za kampeni

Ilani imetolewa kwa wagombea wote wa viti mbali mbali nchini kuwa utumizi wa nyimbo katika hafla za kisiasa bila kuwa na leseni maalum ni kinyume na sheria. Kulinga na tangazo lililotolewa na halmashauri ya watungaji nyimbo na washika dau ifikapo 16 mwezi juni yeyote atapatikana akidundisha mziki bila leseni hiyo ataweza kukamatwa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories