Wanasiasa Wa CORD Wafika Tume Ya Ufisadi

Viongozi watatu wa CORD hatimaye hii leo wamewasilisha Kwenye time ya ufisadi nchini kuhusiana na unyakuzi wa ardhi ya ekari 134 eneo la Karen. Watatu hao maseneta Johnston Muthama, Bonnie Khalwale na James Orengo wamesema kuwa watawasilisha ushahidi huo kwa umma hapo kesho pamoja na kuangazia masuala tata katika sekta ya ardhi nchini

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories