Wanasiasa wa upinzani wahudhuria mazishi Vihiga

Vinara wa muungano wa NASA hii leo walielekea katika kaunti ya Vihiga kumfariji seneta wa kaunti hiyo George Khaniri ambaye alimpoteza mamake wiki iliyopita. Viongozi hao wakiongozwa na kinara wa upinzani Raila Odinga, wamesema kuwa serikali ya Jubilee haipaswi kurejeshwa mamlakani kwani wameshindwa kukabiliana na ufisadi.

Tags:

raila odinga NASA Vihiga George Khaniri

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories