Wanawake 3 wauawa kwenye jaribio la kushambulia kituo cha polisi, Mombasa

Wanawake 3 wameuawa huko Mombasa katika jaribio la ugaidi kwenye kituo cha polisi cha Mombasa. Kulingana na polisi, watatu hao ambao walifika wakiwa wamevalia buibui waliwavamai maafisa 2 wa polisi na kulipua bomu la petrol kabla ya polisi kukabiliana nao na kuwaua.

Tags:

Terror Attack mombasa police station

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories