Wanawake waandamana Mombasa kupinga ubakaji

Wanawake mjini mombasa hii leo waliandamana kulalamikia  kuzorota kwa  usalama katika eneo la kibarani, baada ya mwanamke mmoja kubakwa  juma lililopita.

Irene syongula kwa sasa anauguza majeraha katika hospitali moja ya kibinafsi mjini mombasa baada ya kupoteza miguu yake alipogongwa na gari moshi.

Na kama anavyoarifu hassan mugambi wanawake hawa wanapendekeza adhabu kali kwa watakaopatikana na hatia ya ubakaji.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories