Wanjigi: Mimi ni mkenya asiye na hatia
Published on: October 18, 2017 08:34 (EAT)
Uvamizi nyumbani kwa mfanyibiashara Jimi Wanjigi ulifikia kikomo asubuhi ya leo baada ya saa 72 za maafisa wa polisi kumsaka bila mafanikio katika nyumba hiyo.
Mfanyibiashara huyo aliyezungumza na wanahabari kwa mara ya kwanza hii leo alishtumu serikali kwa kumhangaisha ikilipiza visasi vya kisiasa.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment