Wasafiri wengi wakiwemo wanafunzi watatizika

Msongamano mkubwa wa abiria hasa wanafunzi umeshuhudiwa kwa siku ya pili mfululizo katika vituo vya mabasi ya uchukuzi wa umma huku nauli zikipandishwa mno kufuatia marufuku ya safari za usiku.

Tags:

back to school transport nightmare

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories