Washukiwa watatu wa ujambazi wauawa Kariobangi

Washukiwa watatu wa ujambazi wanaodaiwa kumpiga risasi na kumuua polisi wa idara ya kutoa ulinzi kwa mabalozi katika eneo la komarock mapema leo wameuawa na polisi katika eneo la kariobangi hapa jijini.

Tags:

Kariobangi Hessy wa Kayole kayole gangsters

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories