Watahiniwa 993,000 kujiunga na shule za upili

Wanafunzi 993,000 waliofanya mtihani wa KCPE mwaka huu wanapaswa kujiunga na shule za upili ifikiapo tarehe 9 mwezi Januari mwaka ujao kwa mjibu wa waziri wa elimu Fred Matiang’i. Waziri Matiang’i aliyekuwa akizungumza katika hafla ya kuchagua wanafunzi watakaojiunga na shule mbalimbali za upili pia alisema kuwa serikali imezindua mradi wa majaribio utakao tathmini uwezekano wa shule 19 za kitaifa kusajili wanafunzi wa kidato cha kwanza wasioishi shuleni.

Tags:

Fred Matiang'i kcpe Form One Selection Kenya High School Goldalyn Kakuya

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories