Watahiniwa wajiandaa kwa mtihani wa KCSE kote nchini
Published on: November 04, 2017 08:33 (EAT)
Matayarisho ya mtihani wa shule za upili KCSE unaotarajiwa kuanza siku ya Jumatatu yamekamilika kote nchini. Wanafunzi na waalimu wa shule ya upili ya molo ni baadhi ya wanaojiandaa na wameonyesha ujasiri kwa mtihani ambao unatarajiwa kufanyika kwa wiki tatu.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment