Wateja wa NHIF sasa hawatakuwa wakihitajika kuchagua hospitali

Wagonjwa wa huduma za nje sasa watapata matibabu bila kuhitajika kuchagua hopsitali. Hii ni kwa mujibu wa hazina ya kitaifa ya bima ya matibabu, NHIF, ambayo imezindua mpango unaolenga kupanua huduma za afya kwa wote humu nchini. Hata hivyo, anavyoripoti mwanahabari wetu Denis Otieno, mpango huu utatumika tu mara nne kwa kila mwanachama wa NHIF kila mwaka.

Tags:

NHIF

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories