Watoto 16 wapewa dawa za kupanga uzazi

Zaidi ya wichana 16 wenye umri kati ya miaka 13-16 katika eneo la saboti, kaunti ya Trans Nzoia wanakabiliwa na hatari ya kupata maradhi ya uzazi hii ni baada yao kudungiwa dawa za kupanga uzazi zitazodumu kwa miili yao kwa miaka mitano.Kama anavyoarifu mwanahabari wetu Collins Shitiabayi wazazi wa wasichana hao sasa wanaitaka serikali kuwachukulia hatua waliotekeleza unyama huo licha kuwasaidia kuondoa dawa hiyo kwa wasichana hao……

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories