Watoto wa Ibrahim Akasha watoroshwa

Imebainikika kuwa wanawe marehemu ibrahim akasha na raia wengine wawili wa kigeni, wanaotuhumiwa kufanya biashara haramu ya kuuza mihadarati wamepelekwa marekani. Haya yanajiri siku moja tu baada ya wakili wao cliff ombeta kuitaka idara ya polisi ishurutishwe kuwaleta mahakamani baada ya kuwakamata jumamosi iliyopita.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories