Watoto wa mitaani waongezeka mno mjini Lodwar, Turkana

Watoto wa mitaani katika mji wa Lodwar kaunti ya Turkana wameongezeka mno. Licha ya serikali ya kaunti hiyo kutenga mamilioni ya pesa za kuwajengea makao, ujenzi huo umekwama tangu uanzishwe miaka mitatu iliyopita. Je, watoto hawa hutoka wapi na kwa nini idadi yao imeongezeka sana? Mwandishi wetu Emmanuel Cheboit ameandaa makala kuhusu masaibu ya watoto hao na madai ya ufujaji wa fedha za kuwajengea makao.

Tags:

Lodwar turkana Watoto wa mitaani

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories