Watu 11 Wafariki, 20 Wajeruhiwa Kwenye Ajali

Watu kumi na moja wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa kwenye ajali mbili tofauti za barabarani Jumamosi asubuhi. Kwenye kisa cha kwanza watu watano wa familia moja na dereva wao walifariki baada ya matatu walilokuwa wakiabiria kuhusika kwenye ajali pale matatu hiyo ilipogongana na lori eneo la Kikopey. Watu wengine watano walifariki kwenye ajali iliyohusisha lori tatu katika eneo la salama. Martin Munene anatueleza kwa kina.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories