Watu 14 wapoteza maisha kwenye ajali ya barabarani
Published on: January 05, 2017 09:30 (EAT)
Watu kumi na wanne wamefariki baada ya matatu walilimokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kugonga mwamba. Ajali hiyo ilitokea mapema asubuhi ya leo katika eneo la Nyakach, Kisumu.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment