Watu 2 wafariki katika eneo la Sachangwan
Published on: January 01, 2018 08:45 (EAT)
Watu Wawili wamefariki katika eneo la Kibunja karibu na Sachangwan katika barabara ya Nakuru kwenda Eldoret. Ajali hiyo imetokea siku moja tu baada ya watu 38 kufariki katika barabara hiyo hiyo, huku familia zikiendelea kufika katika hospitali kuu ya Nakuru kutambua miili ya wapendwa wao.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment