Watu 2 wafariki kufuatia kuporomoka jengo eneo la Kware

Idadi ya watu waliofariki katika mkasa wa kuporomoka kwa jumba la makazi katika eneo la Pipeline hapa jijini Nairobi imefikia wawili, huku mmoja akidaiwa kukwama kwenye vifusi. Haya yanajiri huku hali ya kibinadamu ikizidi kudorora kwa waasiriwa wa mkasa huo ambao sasa wamesalia bila makao. Na kama anavyoarifu Hassan Mugambi, kaunti ya Nairobi imetoa ilani ya siku saba, kwa mmiliki wa jumba lililoko pembezoni mwa lile lililoporomoka kubomoa jumba hilo kwa kukosa la kuafikia matakwa ya ujenzi.

Tags:

Nairobi pipeline building collapse Kware

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories