Watu 4 wafariki katika mapigano Marakwet mashariki

Hali ya wasiwasi imetanda baina ya jamii za Pokot na Marakwet baada ya ripoti za watu wawili kufariki huku mmoja akilazwa hospitalini. Haya yanajiri licha ya juhudi za serikali kujaribu kuleta maskizano baina ya jamii hizo. Saida Swaleh na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories