Watu 4 wafariki kwenye ajali barabarani Kisii

Watu wanne wamefariki hii leo kwenye ajali ya barabarani katika barabara kuu ya Kisii kuelekea Nyamira. Ajali hiyo iliyoshuhudiwa majira ya saa kumi na mbili asubuhi ilihusisha matatu aina ya Probox na gari dogo la kibinafsi.

Tags:

Kisii Nyamira ajali ya barabarani

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories