Watu 4 wahofiwa kuambukizwa ugonjwa wa Marburg

Watu wanne wanahofiwa kuambukizwa virusi hatari vinavyosababisha ugonjwa wa Marburg katika kaunti ya Trans Nzoia. Hatua hiyo imezua hofu hasa baada ya watu wawili kufariki katika nchi jirani ya Uganda kutokana na maradhi hayo huku shirika la afya ulimwenguni (WHO) likionya serikali kutahadhari.

Tags:

marburg

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories