Watu 7 waugua Kimeta baada ya kula ng’ombe mwenye ugonjwa huo

Watu saba wanaendelea kupata matibabu katika hospitali ya Longisa kaunti ya Bomet baada ya kuugua ugonjwa wa kimeta kwa kingereza anthrax baada ya kula nyama iliyokua na maradhi hayo.

Tags:

anthrax Kimeta

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories