Watu 8 wauawa na wengine 16 kujeruhiwa Isiolo
Published on: May 27, 2017 08:59 (EAT)
Maafisa wa polisi wanaendeleza operesheni ya kuwasaka waliowaua watu saba hapo jana huko Isiolo. Maafisa hao wameshika doria katika barabara ya Laisamis kulekea Isiolo. Haya ni huku viongozi wa eneo hilo kuilaumu serikali kwa kukosa kudumisha usalama katika eneo hilo licha ya kuwa na habari kuhusu uwezekano wa visa vya wizi wa mifugo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment