Watu sita wafariki kwenye ajali wakitoka mahafali Ruai
Published on: April 08, 2017 09:08 (EAT)
Watu sita waliangamia kwenye ajali barabarani walipokuwa wakitoka kwenye hafla ya mahafali. Kwingineko mamlaka ya uchukuzi na usalama barabarani imewanasa madereva walevi saa chache tu baada ya mahakama ya rufaa kutoa uamuzi kuwa kifaa cha kupima viwango vya ulevi si halali.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment