Watu zaidi ya 100 wapokea tuzo za rais

Watu zaidi ya mia moja, wamepokea tuzo ya kitaifa ya rais, kwa sababu ya uzalendo wao kwa taifa hili na wakenya kwa ujumla. Mwanahabari wa runinga ya Citizen Jackie Maribe ni miongoni mwa waliopokea tuzo ya head of state commendation.

Tags:

Jacque Maribe Jamhuri Day Githeri Man head of state commendation

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories