Wauguzi kote nchini warejea kazini

Ni afueni kubwa kwa wagonjwa kote nchini baada ya wauguzi kusitisha mgomo wao na kurudi kazini. Hii ni baada ya mkutano baina ya wizara ya afya, baraza la magavana pamoja na muungano wa wauguzi nchini hapo jana kuzaa matunda. Hata hivyo, kuna baadhi ya kaunti ambazo wauguzi hawakuonekana kazini leo kwa sababu tofauti.

Tags:

nurses'Strike wauguzi

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories