Wauguzi kutoka kaunti 4 waandamana mjini Eldoret

Zaidi ya wauguzi elfu moja na mia mbili kutoka maeneo ya Uasin Gishu, Elgeyo Marakwet, Nandi na Trans Nzoia waliungana kwa mgomo wa umoja katika mtaa wa Eldoret kutokana na kutotiwa sahihi kwa mkataba wa makubaliano (CBA).

Tags:

Nurses strike mgomo wa wauguzi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories