Wauguzi wanaogoma Meru wahimizwa kurudi kazini

Serikali ya kaunti ya Meru imewaagiza wauguzi wanaogoma katika hospitali ya mafunzo na rufaa ya Meru, warudi kazini mara moja, la sivyo wachukuliwe hatua kali za kisheria. Uongozi wa kaunti hiyo umekana madai kuwa uliwafuta kazi wafanyakazi 1,800 ambao wamekuwa wakigoma. Hata hivyo, katibu wa kaunti hiyo Julius Kimathi amesisitiza kuwa wanaogoma hawatalipwa mshahara wa mwezi huu wa oktoba.

Tags:

Peter Munya meru wauguzi wanaogoma

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories