Wawakilishi wa wadi huko Nyeri wamuuzulu Gachagua

Waakilishi wa bunge la Nyeri wamepitisha hoja ya kumtimua gavana wao Nderitu Gachagua baada ya waakilishi hao kukesha kwenye majengo ya bunge hilo. Waakilishi 32 walipitisha hoja hiyo dhidi ya 12 ambao waliamua kuondoka nje ya majengo ya bunge wakati wa kupiga kura

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories