Wawakilishi wa wadi kaunti Murang’a wazua balaa tena

Mwakilishi wa wadi mmoja amezuiwa huku wengine sita wakitolewa agizo la kukamatwa katika kaunti ya Murang’a baada ya kuzua kizazaa katika afisi za bunge la kaunti hiyo. Hii ni baada ya vikundi viwili vya wawakilishi wa wadi kutofautiana kuhusu uongozi mpya uliofaa kushika hatamu kwenye bunge la kaunti.

Tags:

muranga mcas

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories