Wawekezaji wengi wachagua Eldoret
Published on: September 16, 2017 10:08 (EAT)
Mji wa Eldoret ni miongoni mwa miji inayokua kwa haraka humu nchini, na wawekezaji tajika sasa wameanza kuwekeza na kufanya uchumi wa kaunti ya Uasin Gishu kupanuka kwa kiwango kikubwa.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment