Wazee wa Wapokot na Wamarakwet walaani wauaji
Published on: January 13, 2017 08:53 (EAT)
Huku zaidi ya watu 35 wakipoteza maisha katika kipindi cha miezi sita iliyopita kufuatia wizi wa mifugo baina ya jamii ya Wapokot na Wamarakwet, wazee kutoka jamii hizi mbili wameanzisha mchakato wa kutafuta amani ili kukabili visa hivi. Kama anavyoarifu mwanahabari wetu Collins Shitiabayi wazee hawa wameazimia kutumia mbinu ya kushurutisha jamii inayotekeleza uvamizi au mauaji kulipia fidia.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment