Waziri John Kerry atazuru nchini

Waziri wa mambo ya nje wa marekani John Kerry anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara rasmi ya siku mbili hapo kesho.

Kerry atakutana na kufanya mazungumzo na  maafisa waandamizi wa serikali ya Kenya akiwemo Rais Uhuru Kenyatta. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kujikita zaidi katika masuala ya usalama na Uchumi. Mwanahabari wetu melita oletenges anatuletea habari zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories