Waziri Mailu agiza wadau kwenye bima ya NHIF washauriane

Waziri wa afya, Daktari Cleopa Mailu, ameamuru kusitishwa kwa mfumo mpya uliokuwa umetolewa na shirika la kitaifa linalosimamia bima ya afya NHIF, kwamba wateja wanaotibiwa na kenda nyumbani watahudumiwa mara nne tu kwa mwaka.

Tags:

NHIF cleopa mailu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories