Waziri wa Afya na Katibu wake wadaiwa kukomoana

Waziri wa afya dakta Cleopa Mailu amemshutumu katibu katika wizara ya afya dakta Nicholas Muraguri kwamba haheshimu mamlaka yake. Kulingana na Mailu, Muraguri alikataa kuongoza kundi la maafisa wanne kutoka wizara hiyo waliotakiwa kufanya mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgomo wa madaktari na badala yake akachagua afisa mwingine wa kumwakilisha.

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories