Waziri wa kilimo Bett na katibu Lesiyampe wahojiwa

Kijoto kilisheheni katika kikao cha kamati ya bunge kuhusu kilimo wakati ambapo waziri wa Kilimo Willy Bett na katibu wake Richard Lesiyampe walipojipata taabani kuhusiana na mahindi kuagizwa kutoka nje. Ni hapo ambapo ilibainika kuwa unga wa mahindi ulioanza kuuza jana kwa shilingi tisini kwa mfuko wa kilo mbili si kutokana na mahindi yaliyoingia nchini wiki iliyopita bali ni mahindi yaliyokuwa humu nchini.

Tags:

UNGA Mexico Willy Bett mahindi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories