Wenye kusaga unga wakosa mahindi

Serikali kwa mara nyingine imeahidi kukabiliana na ukosefu wa unga wa mahindi kwa ukamilifu. Waziri wa kilimo Willy Bett amedokeza kuwa zaidi ya magunia laki nne hamsini yamewasili katika bandari ya Mombasa tayari kusambazwa.

Tags:

UNGA MAIZE SHORTAGE Ugali Willy Bett mahindi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories