Wizara ya afya sasa yamulikwa kwa ufujaji wa fedha

Waziri wa afya Dkt. Cleopa mailu amekiri kuwa uchunguzi unaendelea kuhusiana na kashfa ya shilingi bilioni tano katika wizara hiyo. Kashfa hiyo inayohusisha kufujwa kwa mali ya umma kupitia tovuti ya malipo ya serikali almaarufu IFMIS, inadaiwa kufanyika kwa kulipia bidhaa maradufu na kadhalika kuelekeza fedha ambako hakujaidhinishwa.

Tags:

wizara ya afya Nicholas Muraguri Kashfa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories