Wizara ya Elimu yapendekeza elimu ya ngono

Wizara ya elimu huenda hivi karibuni ikalazimika kuanzisha masomo ya elimu ya ngono iwapo bunge litapitisha mabadiliko ya sheria.

Wabunge hii leo walijadili mswada unaopiga marufuku mazungumzo nje ya korti kutatua makosa yanayohusiana na ngono. Stephen Letoo ana taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories