Yadaiwa mahawara wamejaa Kitale
Published on: November 12, 2016 09:20 (EAT)
Audio By Vocalize
Ni msimu wa mavuno kaskazini mwa bonde la ufa ambapo mji wa Kitale umeshuhudia ongezeko la makahaba ambao wamekita kambi huko ili kufaidi pesa za wakulima baada ya mauzo ya mahindi. Kutoka kaunti ya Transnzoia, mwanahabari wetu Collins Shitiabayi ametuandalia taarifa hii.


Leave a Comment