‘Yaliyondwele sipite’ Msanii atunga wimbo akitumia usemi wa Wavinya
Published on: July 01, 2017 08:26 (EAT)
Audio By Vocalize
Walisema wahenga; ukitaka cha mvunguni sharti uiname, na ni kweli hasa msimu huu wa siasa kila upande unachachawiza ukitaka ushindi na wasanii hawajaachwa nyuma. Huu ni msimu wa ubunifu wa namna yake na hakuna anayefahamu wakati wa kuvuna kama msanii. kwa sababu haja yake kubwa ni kusoma mazingira yake vizuri na asikize kwa makini. Anne Mawathe anakuarifu kuhusu usanii wa siasa.


Leave a Comment