Zaidi ya nyumba 1500 Nairobi sio salama
Published on: November 29, 2016 09:45 (EAT)
Tunaanza nipashe na taarifa ambazo huenda ziwakatia wapangaji wengi tumbo jumbo, kwani takriban majumba 1500 sio salama kwa makaazi hapa jinini nairobi. Takwimu kutoka kitengo kinachochunguza majengo humu nchini zinaaashiria kuwa zaidi ya asilimia hamsini ya majumba hayo huenda yakaporomoka wakati wowote. Ili kuokoa maisha ya wakaazi kitengo hicho kimeshauri nyumba hizo kubomolewa haraka iwezekavyo kama anavyotueleza patrick igunza.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment