Zaidi ya vijana 900 kunufaika na NYS, Garissa

 Zaidi ya vijana 900 kutoka kaunti ya garissa watanufaika na mpango wa kujiunga na huduma ya kitaifa ya vijana almaarufu nys kwa muda wa miezi mitatu ijayo. Akizindua mradi huo katika kaunti ya garissa naibu rais william ruto amesema kuwa serikali imetoa shilingi milioni 30 itakayowezesha mradi huo kuanzishwa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories