Zaidi ya watahiniwa 900,000 wataanza mtihani wao wa darasa la nane hapo kesho

zaidi ya watahiniwa 900,000 wataanza mtihani wao wa darasa la nane hapo kesho. Serikali ikiwa imeweka mikakati kabambe kuhakikisha kuwa kila kitu kishwari. Ikizingatiwa kuwa mitihani ya kitaifa mwaka uliopita ilizongwa na visa vya udanganyifu.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories