Ziara ya Magufuli Kenya

Ziara ya Rais Magufuli inajiri wakati ambapo nyufa za kidiplomasia zimeonekana kuzonga uhusiano wa kenya na tanzania, hata hivyo kufuatia mkutano baina ya Magufuli na mwenyeji wake Rais Kenyatta, sasa mambo huenda yakanyooka.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories