Zoezi la kumtafuta Naibu Jaji Mkuu laendelea
Published on: September 28, 2016 11:28 (EAT)
Shughuli ya kuwahoji wanaotafuta kuchukua nafasi ya naibu jaji mkuu ilifichua kukithiri kwa ufisadi katika idara ya mahakama na kwingineko nyumba 3 zateketezwa moto katika kijiji cha kapchemoiywo kaunti ya Nandi kufuatia kuwawa kwa mjane wa miaka 52 kutokana na ugomvi wa shamba.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment