Zoezi la kuwasajili wapiga kura laanza rasmi kote nchini

Viongozi wa kisiasa kutoka maeneo mbalimbali nao wameanza shughuli ya usajili wa wapiga kura kwa kishindo. Vinara wa cord raila odinga, kalonzo musyoka na moses wetangula wameandaa mikutano mbalimbali hapa Nairobi wakiwarai wakazi kujitokeza kujiandikisha. Katika kaunti ya kiambu, baadhi ya wabunge wameanza mikakati ya kuhakikisha vitambuliosho vambavyo vingali kuchukuliwa na wenyewe vinawafikia, lengo likiwa kuzidisha idadi ya kura kabla ya uchaguzi wa Agosti.

Tags:

Ballot 2017

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories