Jamii na marafiki wamuaga Profesa Calestous Juma

Jamii na marafiki wakongamana katika kanisa la Holy Familiy Basilica kwenye misa ya wafu ya marehemu mhadhiri mtajika Professa Calestous Juma. Aidha Rais Uhuru Kenyatta alihudhuria misa hiyo na kumtaja marehemu Juma kama mbunifu kwenye masomo ya sayansi na aliyechangia pakubwa kwenye sekta hiyo.

latest stories