Chama cha Wiper chasitisha mkutano wa muungano wa wananchi

Chama cha Wiper kimesitisha mkutano wa bunge la wananchi uliokuwa ufanyike katika kaunti za Ukambani wikendi hii. Mkutano wa baraza la chama hicho uliohudhuriwa na kinara wa wiper Kalonzo Musyoka, umetoa uamuzi huo ukitaka musyoka kuendelea kushinikiza kuwepo kwa mazungumzo na serikali kabla ya kuapishwa kwao mwishoni mwa mwezi huu.

latest stories